Natafuta kazi ya kujitolea Dodoma

Natafuta kazi ya kujitolea Dodoma

Alawi Mawanda

New Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
4
Reaction score
0
Habari wana jamvi, natafuta kazi ya kujitolea kwenye taasisi au kampuni lolote, ninashahada ya mipango na usimamizi wa mazingira, kwa yoyote anaeweza kunipa mwanga tafadhal anisaidie. Huku nikiwa nasubiria sehem nyingine nilizoomba, asanteni.
 
hivi huwa hamtembelia site za ajira??.....mbona naziona nafasi za VSO International limetangaza volunteer??....au bundle zenu ni kwa ajili ya jf tu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom