kuku87
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 1,220
- 296
Wanajf kama kuna ambaye anaweza kuniunganisha na kazi ya kufunza entrepreneurship, business admn na ICT naomba aniinbox, niko na degree ya biashara katika IT na niko na uzoefu wa mwaka nusu katika kufundisha IT na entrepreneurship, kwasasa nafanya kazi kwenye microfinance kama credit supervisor ila napenda kurudi katika kufunza, kama kuna mtu anaweza nisaidia anipm tuwasiliane vzuri