Natafuta kazi ya kufundisha

Natafuta kazi ya kufundisha

Thifor

Member
Joined
Mar 10, 2015
Posts
19
Reaction score
1
Mie ni certificate ya ualimu,natafuta kazi ya kufundisha shule za primary aina zote.
Pia nafundisha masomo ya biology,chemistry,geograph kwa form I-II
Mkoa wowote naweza kuja;
mawasiliano 0762779059
 
Sijui kama nimekuelewa vizuri, wewe ni Certificate ya Ualimu au Diploma ya ualimu???
 
Mie ni certificate ya ualimu,natafuta kazi ya kufundisha shule za primary aina zote.
Pia nafundisha masomo ya biology,chemistry,geograph kwa form I-II
Mkoa wowote naweza kuja;
mawasiliano 0762779059

Cheki hii POST walimu kibao wanatafutwa shule moja hapa Dar
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom