Natafuta kazi ya kufanya

Natafuta kazi ya kufanya

SSJ

Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
15
Reaction score
5
Habari za muda huu wakubwa!!

Mimi ni kijana(+me) naishi dareslaam,miaka yangu ni 21..Natafuta kazi ya kufanya iliyo halali kwa mtu yeyote aliyeko ndani ya Dareslaam ambaye anatafuta mtu wa kumsaidia shughuli zake,iwe ni taasisi,kampuni,shirika lolote,mtu binafsi, mi nitapiga kazi vizuri..

Kuhusu elimu nina cheti cha form 4,cheti cha form 6,nimesoma pia hadi diploma ya maswala ya biashara katika chuo maarufu tu hapa Dareslaam ila kwa bahati mbaya sikuweza kumaliza kutokana na changamoto mbalimbali..

Mimi ni mchapa kazi,mwaminifu, na mpenda maendeleo katika chochote nnachokifanya..Kwa yeyote aliyeko tayari kunisaidia kupata kazi tafadhali usisite kunijulisha..
 
dddddd.jpg

Mambo hayoooo
 
Nipigie 0692470547/0658276181

Similar Discussions

Back
Top Bottom