Stanley Mims
Member
- Aug 29, 2020
- 48
- 86
Habarini wana jamvi,
Leo nimeona si vibaya niungane nanyi kwenye jukwaa hili kwa ajili ya kuomba tenda/kazi ya muda ya kufanya nyakati za Usiku.
Kazi pendekezwa ni pamoja na kwenye.
N.K.
Sifungwi na mapendekezo yangu, ikiwa inapatikana mahala popote kwa ridhaa yangu nitafanya kwa Moyo mmoja.
Naomba tuwasiliane: 0614362272

- Mahoteli/Migahawa.
- Yards/Car Wash
- Maduka
- Viwandani