Asikukatisha tamaa uyo ila kuna njia nyingi unaweza tumia sio adi uchore kwenye magazeti unaweza anzisha facebook page,instagram ,snapchat acc ukawa una chora na ku post mdogo mdogo unapata fan wengi kisha utapata jina kama upo tayari kwa njia iyo ni pm tulisongeshe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.