Natafuta kazi ya kuchoma nyama

Natafuta kazi ya kuchoma nyama

Mwanzoni ulikuwa una kazi?? Maana nilitafta kijana wa chips anayekaa mbagala humu jf hata sikupata...
 
0656622227/0742003442
Mkuu nitakupa Room moja uwe Unakaa na Mtaji wa Kuanzia ila uwe unanipa 10,000 tuu kwa siku deal imekaaje? Kama uko tayari niambie sehemu ya kuuzia Ipo ni yangu wewe utakua unauza sahani 5 tuu kukamilisha hesabu hizo nyingine ni pesa zako!
 
[HASHTAG]#niko[/HASHTAG] tayar nichek
 
Mkuu nitakupa Room moja uwe Unakaa na Mtaji wa Kuanzia ila uwe unanipa 10,000 tuu kwa siku deal imekaaje? Kama uko tayari niambie sehemu ya kuuzia Ipo ni yangu wewe utakua unauza sahani 5 tuu kukamilisha hesabu hizo nyingine ni pesa zako!
Niko tayari nicheki
0656 622227
 
Back
Top Bottom