Natafuta kazi ya kilimo

Natafuta kazi ya kilimo

theriogenology

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
8,748
Reaction score
15,715
Mimi ni kijana niko na umri wa 32 nakuja mbele yenu kuomba kazi ya kusimamia mashamba, vitalu na Green House mkoa wowote hapa nchini niko tayari....

Elimu yangu ni certificate in agriculrure naomba msaada wenu wakuu hali imekuwa ngumu sana huku mtaani....

Mbarikiwe watu wa Mungu.....
 
JamiiForaum wapuuzi tu! niliweka bandiko la kuomba kazi japo ya kuhudumia na kutunza kuku, lakini HOLA.

Anaweza Akakupa namba kwamba umtafute, lakini ukimtafuta, hapokei simu.
Mabwege Hawa.
Pole sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom