V valerian Member Joined Mar 22, 2012 Posts 10 Reaction score 0 Feb 4, 2013 #1 natafuta kazi ya IT nina DIPLOMA YA IT KAMA MTU ANAWEZA KUNISAIDIA KUPATA KAZI NAMBA YANGU 0713013220
natafuta kazi ya IT nina DIPLOMA YA IT KAMA MTU ANAWEZA KUNISAIDIA KUPATA KAZI NAMBA YANGU 0713013220
S Spear_ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 1,734 Reaction score 1,011 Feb 4, 2013 #2 Umeandika kwa kifupi sana, IT ni kubwa sana.....upo fit eneo gani? una experience ya muda gani?
ZionTZ JF-Expert Member Joined Oct 6, 2009 Posts 1,282 Reaction score 541 Feb 5, 2013 #3 unantia aibu...unatafuta kazi wakati taaluma yako inaongoza kwa kujiajiri???? em kuwa serious dogo....
unantia aibu...unatafuta kazi wakati taaluma yako inaongoza kwa kujiajiri???? em kuwa serious dogo....