Natafuta kazi ya hotel

Natafuta kazi ya hotel

Suns

Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
69
Reaction score
14
Mimi ni msichana wa miaka 22 Nina certificate ya hotel management, nipo Tayar kufanya kazi mkoa wowote nipo vizur kwenye department zote za hotel .asante
 
Pole.. Mungu ni mwema utapata tu. Kuna mtu ana labda niseme kimgahawa sidhani kama kitakufaa sana, labda hela ya kula sijui, bado ni padogo, na najua utahitaji nauli, kulipa chumba n.k
 
kama bado anaitaji mtu naomba niunganishe nae tafadhali
 
Jaribu zanzibar, sema naona unabidi ujitolee kwanza upate experience kwanza baada ya hapo una uhakika wa kupata kazi. Maana high season inakuja.
 
Asante kwa ushaur
 
Yeye amesema anaweza kufanya kazi kwenye department zote.
Kama unaweza kuwa finance controller njoo PM
 
Duh..!
Kumbe "Sirikali" kweli ina mkono mrefu.!
Maana hii mbinu midume mingi itaingia kingi na kuzama PM na mtu wanayeamini ni binti.. Kifuatacho kupeana namba za simu kisha baada ya 1week kuna watu hatutawaona tena humu ila watakuwa "kusikojulikana"
Bawaza kwa sauti tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom