Natafuta kazi ya hotel management.

Natafuta kazi ya hotel management.

Ruth kadenge

Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
10
Reaction score
1
Jaman wana jf: nina sister angu ana certificate ya hotel management. Hivyo anatafuta ajira mwenye kujua wapi anaweza pata awasiliane nae . 0717 029568
Email: ruthjosekade@gmail.com.
 
Jaman wana jf: nina sister angu ana certificate ya hotel management. Hivyo anatafuta ajira mwenye kujua wapi anaweza pata awasiliane nae . 0717 029568
Email: ruthjosekade@gmail.com.

Kweli haya maswala ya mtafuata kazi na mwenye kazi yanatuchanganya sana hapa bongo; yaani mimi natafuta mtu mwenye sifa hizo kwa takribani wiki mbili bila mafanikio. Nimegundua tatizo kubwa tulilonalo kwa vijana wetu hawana uwezo wa kufanya hizo kazi wanazotafuta. Natafuta mtu wa kuhudumia nyumba ya boss wangu (korean); awe amefanya hotel management kwa maana ataweza kufanya house keeping na chef. Nitajaribu kuwasiliana na sister wako.
 
Zanzibar hotel gan?

Huyo unayemtafutia kazi hayuko tayari na kazi; unapoteza muda wako. Nimempigia simu na kumwambia kuna kazi hapa dodoma, tunahitaji housekeeper ambaye amfanya hotel management na mshahara wa kuanzia ni Tsh. 200,000/= (malazi na chakula bure), ameonekana hayuko tayari. hakuna sababu ya mtu kuweka tangazo kwamba unatafuta kazi halafu ukipewa offer ya kazi unakuwa hauko tayari, maana yake umeshajichagulia kazi na mahali.
 
Back
Top Bottom