Mkanapokaa
Member
- Apr 13, 2021
- 15
- 15
Habari,
Natafuta kaz ya audit material reconciliation, kwenye viwanda kama clinker, slag, fertlizer, cement, na raw material zote zinazokuwa imported, nina bachelor ya accounts, nina uzoefu wa miaka 6 kwenye audit works, finance, na Operations.
Mwenye connention naomba anijuze.
With regards