Natafuta kazi ya Afisa kilimo na mifugo

alini alberto

Member
Jun 6, 2015
69
28
-Nina elimu ya stashahada(diploma) ya kilimo na mifugo.....ujuzi wa kutumia computer vizuri
-Experience ya miezi saba kwenye kampuni ya uzalishaji wa parachichi....
-nipo Mbeya na nipo tayari kufanya kazi kwenye mazingira yoyote....ahsante

Simu; 0625711385/0676227858
Email; alinialberto14@gmail.com
 
Are u serious unatafuta kazi?, unadhalilisha kilimo mbona mikazi kibao au unataka laana wewe?. HRM/law etc wawe wanalia hata ww kilimo ulie!, toa uzi wako humu ndani tafuta kazi achana na kufata bendera za watu
 
-Nina elimu ya stashahada(diploma) ya kilimo na mifugo.....ujuzi wa kutumia computer vizuri
-Experience ya miezi saba kwenye kampuni ya uzalishaji wa parachichi....
-nipo Mbeya na nipo tayari kufanya kazi kwenye mazingira yoyote....ahsante

Simu; 0625711385/0676227858
Email; alinialberto14@gmail.com
Kuitwa officer lazima uwe na degree. Jitambulishe vizuri kwanza
 
Kuna watu wanatafuta elimu yako ili waingie kwenye list ya matajiri.
Nenda shamba kwa elimu yako hata heka moja kando ya mto hutajutia
 
Inakuwaje una diploma 2 kilimo na mifugo? Tueleze iyo program uliosoma kwa lugha ya kingereza pengine kiswahili ni kigumu
kuna diploma ya crop production, animal science, agr engineering, irrigation,animal health, general agriculture etc asa mm nimesoma ya general means it comprises crop cultivation and livestock keeping.....
 
Yan watu wanavyokimbilia kwenye kilimo hivi mtaalam kama wewe unasema unatafuta kazi......ningekuona wa maana ungesema wewe ni consultant wa kilimo na uweke gharama zako za ufanyaji wa kazi hili huwe unazunguka huku na kule kuwasaidia watu.

Kuna a lot of people out there wanapesa za kuwekeza lakini wanakosa wasimamizi.

Anzisha kitu kama hicho kaka don't lower your career status. Kama ukishindwa nitafute mwezi ujao tufanye kazi unipe ushauri.
 
owkey
 
Unaomba kazi za kilimo kisha unataja ujuzi wa kutumia computer kwa unalima kwa Computer? Mambo mengine unajikosesha bahati mwenyewe!
hapana kaka saiv almostly vitu vingi sana vnafanyika computerized na kuna kitu kinaitwa crop experiment ambayo inaweza kufanyika kwa kutumia genstat pro kwa computer kuna software km MS,SPSS,MSTAT,SAS. as statistical test znatumika kwny agriculture....I hope utakuw umenielewa kaka
 
Sina sababu ya kukariri hizo SSP na CCP zako, ningekuwa wewe hatua ya kwanza kabisa ninanzisha shamba darasa nyumbani kwetu, kisha nifuate kanuni nilizofundisha, baada ya hapo ningekuja hapa kutoa objectives za ulichosoma na kuambatanisha na shamba darasa lako, yumkini angetokea mdau ama wadau wakakuwezesha uimplement mawazo yako kwenye scale kubwa badala ya kuja na hadithi za kilimo cha computer!
 
ahsante kaka... nimekuelewa nitajtahid kulitendea kaz.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom