Natafuta kazi ya 200k-250K per month

Natafuta kazi ya 200k-250K per month

Knock life

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
2,468
Reaction score
7,738
Wakuu habari ya uzima,

Nina imani mnaendelea salama na kwa wale mnaopitia changamoto kama kuumwa na n.k Mungu awaguse mpate kupona.

Najua mtandao huu umefanyika baraka kwa watu wengi Sana

Mtandao huu umekuwa, Shule, darasa na chuo cha maarifa na fursa mbali mbali.

Kwanza ninawashukuru members wote pamoja na founder wa huu mtandao Mungu awabariki.

Leo hii naomba MTU mwenye kibarua /kazi akapate kunigusa.

Jina langu naitwa Manfried

Elimu yangu: Shahada ya Kiingereza na kiswahili.

Uzoefu wa kazi: Nimefundisha Kwa kujitolea tangu nimehitimu chuo mwaka 2023.

Kazi nazoweza kufanya

Kufundisha kuanzia Primary hadi form six.

Kufanya kazi mbalimbali kama za Ujenzi katika kampuni n.k

Pia na aina ya Kazi zinazohitaji nguvu pamoja na akili.

Binafsi sifa yangu kubwa nilionayo sio Elimu tu bali uaminifu.

Ikiwa ntapata 200k-250k Kwa kuanzia ntashukuru.

Mimi ni muumini wa Kazi kwanza then pesa baadae.

Location nipo DSM (Kitunda). Namba ya simu +255622283553

Naweza kushindwa kujibu maswali hapa online kwa wakati maana sina simu kubwa Ila ukinipigia nitakupa maelezo.

Nawatakia siku njema na Mungu awabariki kwa kufanyika baraka katika ya watu wengine natamani na Mimi siku nirudi hapa JF na kummulikia MTU mmoja mwanga aliyepo gizani 🙏🏽
 
Wakuu habari ya uzima
Nina imani mnaendelea salama na kwa wale mnaopitia changamoto kama kuumwa na n.k Mungu awaguse mpate kupona.

Najua mtandoa huu umefanyika baraka kwa watu wengi Sana

Mtandao huu umekuwa, Shule, darasa na chuo cha maarifa na fursa mbali mbali.

Kwanza ninawashukuru members wote pamoja na founder wa huu mtandao Mungu awabariki.

Leo hii naomba MTU mwenye kibarua /kazi akapate kunigusa .

Jina langu naitwa Manfried

Elimu yangu: Shahada ya Kiingereza na kiswahili.

Uzoefu wa kazi: Nimefundisha Kwa kujitolea tangu nimehitimu chuo mwaka 2023.

Kazi nazoweza kufanya

Kufundisha kuanzia Primary hadi form six .

Kufanya kazi mbalimbali Kama za Ujenzi katika kampuni n.k

Pia na aina ya Kazi zinazohitaji nguvu pamoja na akili.

Binafsi sifa yangu kubwa nilionayo sio Elimu tu bali uaminifu.

Ikiwa ntapata 200k-250k Kwa kuanzia ntashukuru.

Mimi ni muumini wa Kazi kwanza then pesa baadae.

Location nipo DSM (Kitunda )
Namba ya simu +255622283553

Naweza kushindwa kujibu maswali hapa online kwa wakati maana sina simu kubwa Ila ukinipigia ntakupa maelezo .

Nawatakia siku njema na Mungu awabariki kwa kufanyika baraka katika ya watu wengine natamani na Mimi siku nirudi hapa JF na kummulikia MTU mmoja mwanga aliyepo gizani 🙏🏽
Oya wagumu tunajilipua kwemda Zanzibar kama una interest na huku kujilipua tuwasiliane.
 
Jumapili Njema wakuu.

Bado sijapata opportunity naomba mwenye fursa unifahamishe.

Ukinisaidia utakuwa umefanyika baraka sio kwangu tu hadi kwa familia yangu.

"Muwe na siku njema"
 
Best wishes mkuu. Mungu akutangulie na wenye fursa waguswe wakuinue
 
Jumapili Njema wakuu.

Bado sijapata opportunity naomba mwenye fursa unifahamishe.

Ukinisaidia utakuwa umefanyika baraka sio kwangu tu hadi kwa familia yangu.

"Muwe na siku njema"
Sajili laini mtaani, ila usitapeli watu.

Ukiwa na juhudi mwezi wa kwanza utapiga 200K... Na miezi ijayo utakuwa na uhakika wa 400K kila mwezi ili mradi uwe na juhudi za kuingia mtaani na kushawishi.
 
Wakuu -nafatilia Usahili ikiwa ntarudi kuwapa update.

Ila nashukuru kwa sapoti yenu Mungu awabriki Sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom