Natafuta kazi waungwana.

Natafuta kazi waungwana.

We zainabyon acha utan hapa unatafuta Kazi ndio nini? Umeshindwa hata kusema yeyote? Aaaaah
 
Huyu anti nadhan hayuko serious kaleta siled kibao humu mara nataka kaz ya kuuza cofe,then mgahawa na hii hapa,me naona anatuzingua tu hapa hata maelezo hayajasheheni!
 
jaman cna utani nina shida na kazi na ndio maana cjaweka mpaka
 
Sasa ndo huwezi kusema yeyote.. ? OK watakuaaidia wadau wapo lakini kuna MTU alisema hapa anahtaji mfanyakazi Wa dukani Anglia vizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom