Hapana mkuu sina cheti cha OSHA ila nimetuma CVKUNA MTU katangaza hii nafasi kwenye jukwaa hilihili JARIBU
Nafasi ya Ajira, Safety Engineer anahitajika , At least 3 years experience.
Kama una Certificate ya OSHA ni vizuri zaidi.
Send your CV to hrfbde@gmail.com
Or WhatsApp 0674983585
Elimu yangu ni chuo kikuu,
Shahada ya uhandisi wa mazingira( BSC.In Environmental Engineering),
Nina miaka 26,
Ni mkazi wa Dar es salaam,
Jinsia ni Ke
Yeyote mwenye kazi halali au akanisaidia nikapata ajira msaada wenu tafadhali hali ni tete jamani
Umefanya vema kutuma, Cheti cha OSHA ni added advantage.Hapana mkuu sina cheti cha OSHA ila nimetuma CV
Hizo course za OSHA zinatolewa wapi?Umefanya vema kutuma, Cheti cha OSHA ni added advantage.
Hata hivyo kama unaweza soma short course za OSHA itakufaa sana, na kukuongezea nafasi za kupata kazi.
Asante kwa kunitia moyo mkuuAjira zimekuwa tabu sana siku hizi.Kitaa wahitimu wengi wamekuwa madereva bodaboda.
Juzi kati nilipanda uber dereva alikuwa msichana katika story mbili tatu akanambia kamaliza mlimani Geology ila kakosa ajira mwaka wa 3 sasa so ameamua kujishikiza kwenye Uber.
Huyu rais wa wanyonge anatunyosha sana.
Kila la kheri aisee ila wakati unatafuta kazi unayoipenda si vibaya ukajishikiza poppte pale patakapokupa ela ya vocha si lazima iwe ya kitaalamu.
Hizo course za OSHA zinatolewa wapi?
Natafuta kazi yyt mkuu hata nikipata internship poa tu ili mradi nipate experience zaid though ni muhitimu wa 2017 mkuuTafuta sehemu ya kujishikiza kama internship upate experience..tena ili uive fanya intern miezi sita then badili field. Pia itakufanya ukutane na wadau mbali mbali na utapata kazi fasta sana
Tafuta ofisi za wanojenga miradi ya reli na bwawa la umeme kajaribuElimu yangu ni chuo kikuu,
Shahada ya uhandisi wa mazingira( BSC.In Environmental Engineering),
Nina miaka 26,
Ni mkazi wa Dar es salaam,
Jinsia ni Ke
Yeyote mwenye kazi halali au akanisaidia nikapata ajira msaada wenu tafadhali hali ni tete jamani
Shukrani ngoja nifanye hivyoTafuta ofisi za wanojenga miradi ya reli na bwawa la umeme kajaribu