Natafuta Kazi WanaJF

Natafuta Kazi WanaJF

allan isaack

Member
Joined
Jul 29, 2014
Posts
11
Reaction score
1
Ni Graduate wa B.com(Marketing) Nina ujuzi Kwenye
1.Matumizi Ya Computer hasa kwenye excel,PowerPoint Na Other Ms Office Application.
2.Nina Professional Ya Insurance(COP) Niliyoipata Pale Chuo Cha IFM
3.Nina International Diploma Ya Logistic and Transport nimeipata Pale Chuo Cha DMI
4.Ninaujuzi wa Mambo Ya Insurance kwani nimewahi Kufanya Kazi Kwenye Insurance Firms.
4.Ninajua Kujielezea Vizuri Kwa Kutumia Lugha Ya Kiingereza na Kiswahili.
kwa Mawasiliano.
Mobile:0712703839
E-mail:Isaackallan@ gmail.com
Naomba Kuwasilisha Taarifa.
Ahsanteni Wadau JF kwa Ushirikiano Wenu
 
Duh ,kumbe kupata kazi ni inshu et eeeh

ebu nichek 0658204496
 
Idm ndo chuo gani !! Ai unamaanisha dmi

Macho yako hayaoni vizuri? Kwani hapo kaandika idm au DMI? funga kwa sala kwa imani unayoamini Dogo utapata kazi, Mungu ni mwema
 
Back
Top Bottom