Natafuta kazi wakuu

Natafuta kazi wakuu

emmax00

Member
Joined
Oct 1, 2016
Posts
38
Reaction score
3
Kijana wa miaka 30 elimu kidato Cha 4 Nina ujuzi wa kuongoza watalii (tour guide) pia Ni hotelier Niko vizur jikoni(shef) Nina lesseni class D, nakuja kwenu kwa heshima kutafuta kazi kutokana Na ujuzi wangu, pia Niko tayari kufanya kazi yoyote halali ya kujiingizia kipato Kama itapatikana no yangu, Ni 0752353146.asante.
 
Back
Top Bottom