Good Monday, wanajamvi!
Ni matumaini yangu mu-wazima!
Ndugu zangu, nimeona ni vyema nikajitokeza mbele yenu kupitia jamvi hili kuomba msaada na hata ushauri inapobidi! Mimi ni kijana wa kitanzania ninaetafuta kazi yeyote iliyo halali itakoyoweza kuniingizia kipato nikaweza angalau kumudu gharama za maisha.
Nina Diploma ya Computer Science kutoka UDSM. Pia nina MCSA (Enterprise Administator - Windows 2008), Professional Development Certificate in Leadership, Professional Development Certificate in Results Based Management.
Nina uzoefu wa kazi wa kazi takribani miaka 9. Na nimejijengea uelewa, ujuzi na uzoefu mwingi na wakutosha katika field zifuatazo; Systems Administration, ICT Facilitation, Networking, Access Control & CCTV Systems, NOC Operations, Renewable Energy Technologies, Solar Systems Installations na kwa kiasi flan Usimamizi wa Miradi ya Maendeleo Hasa kwa Vijana!
Nina jiamini na nna uwezo wa kufanya kazi bila kusimamiwa. Niko huru kufanya kazi yoyote ninayopangiwa hata inapokua nje ya eneo langu la kujidai.. Pia ni Dereva mzoefu.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa Mwanajamvi yeyote anayeweza kunisaidia au kunipendekeza mahali penye nafasi!
MTAANI PAGUMU SANA NDUGU ZANGU!
Nawasilisha!
Mkalimi Mkalimi
imkalimi@yahoo.com