Natafuta kazi Singida

vanilagal

Member
Dec 6, 2014
37
10
Habari! Wana jamii natafuta kazi mkoa wa singida,nina miaka 26 degree ya marketing, nisaidieni kazi mkoani singida sababu nataka nirudi nyumbani, na kwa sasa nafanya kazi dar es salaam.. Na kazi iwe singida mjini mahali wazazi wangu Wanapoishi!! Asanteni.
 
singda hv kule kuna ofisi gani ? labda ma bank ungekuwa unafanya kazi bank labda ndo ungeomba uhamishwe mkoa
 
Habari! Wana jamii natafuta kazi mkoa wa singida,nina miaka 26 degree ya marketing, nisaidieni kazi mkoani singida sababu nataka nirudi nyumbani, na kwa sasa nafanya kazi dar es salaam.. Na kazi iwe singida mjini mahali wazazi wangu Wanapoishi!! Asanteni.
Sawa endelea kutafuta
 
Back
Top Bottom