Natafuta kazi popote

Natafuta kazi popote

Jamaly Ally

New Member
Joined
Nov 19, 2020
Posts
2
Reaction score
0
Wadau natafuta kazi yeyote mimi kijana.

Nina elimu ya kidato cha sita na pia nina mafunzo ya JKT pamoja na Cheti ChaJKT Naombeni mnisaidie kwani nahitaji kusoma mwakani
 
Toa hilo neno 'nahitaji kusoma mwakani' , hakuna muajiri anayelenga maendeleo yako...bali muajiri analenga maendeleo yake.
 
Watu wanazaidi ya vyeti ulivyonavyo ila hata kupata kazi ya kufagia vyoo vya lumumba hakuna
 
Nina cheti cha kuzaliwa,cheti cha kuhitimu elimu ya msingi,cheti chenye matokeo ya kumaliza elimu ya sekondari(O-level & A-level),cheti cha JKT,kitambulisho cha uraia Leseni ya udereva daraja D na degree zangu mbili za biashara pamoja na kujitahd kutuma maombi na kuwa muuzuliaji mzuri wa Magroup na website zote zinazojishughulisha na kusogeza ajira kwa vijana kwa kuzikusanya sehemu moja bado mpaka sasa sijawahi kuajiriwa na kampuni.

Serikali ama mtu binafsi yeyote mpaka nlipoamua kujitafutia kakitu ka kufanya ambako mpaka sasa kananisukuma taratibu.Sijataja haya yote kukufanya ushtuke ila n ili kukuonesha shida ya kusoma elimu itakayokufanya uwe mtumwa mbeleni..Badala ya kutafuta ajira itakayokupa pesa ya kuendelea na elimu yako ni bora zaidi ukatafuta pesa ya kuanzisha kakitu kako mwenyewe...Kiufupi siku hizi watu wanasoma baada ya kufanikiwa ili kuongeza uelewa na sio ili kupata ajira....UCHUMI WA KATI
 
Wadau natafuta kazi yeyote mimi kijana.

Nina elimu ya kidato cha sita na pia nina mafunzo ya JKT pamoja na Cheti ChaJKT Naombeni mnisaidie kwani nahitaji kusoma mwakani
Nenda Suma JKT makao Makuu yao yapo Kawe ( Dar es salaam ) kila siku wanatoa ajira kwa vijana walopitia mafunzo Ya jeshi pale.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom