Natafuta kazi popote Tanzania

Natafuta kazi popote Tanzania

MR RIGHT2014

Senior Member
Joined
Jun 21, 2014
Posts
104
Reaction score
2
nahitaji kazi 1 kati ya hizi popote...ufundi computer,bank teller/care,udereva,ualimu wa utalii na kiingereza,nina masters ya utalii,nina diploma ya juu ya i.t.,nina diploma ya juu ya lugha ya kiingereza,mimi ni mchapa kazi,mwaminifu,mbunifu na nidhamu,nipo tayari kwa kazi popote tanzania,mshahara usiwe chini ya laki 3 na kuendelea,nitatoa namba ya simu na cv yangu kwa yeyote atakayesaidia katika hili..asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom