Natafuta kazi, pitia hapa

Natafuta kazi, pitia hapa

Mpole mimi

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2014
Posts
315
Reaction score
104
Habari..
Mimi ni mwanamke (21). Naishi Dar es salaam. Nimekuja mbele yenu hapa kwa nia ya kutafuta kazi halali itakayo niingizia chochote kitu...Mimi ni mwaminifu na mchapa kazi ..sio mzito wa kufikiri pia naweza kuongea kiingereza na kiswahili vizuri..najiamini na napenda kufanikiwa zaidi..

Pia naweza kukusaidia kwa kazi yoyote na kufanikisha lengo...
Ni PM kwa maelewano zaidi.

Nb; sio kazi za ndani wala bar.
Shukrani
 
Your so nice girl usikate tamaa sio kila mtu ataku judge vizuri but kwa mtazamo wangu your a smart girl na utafanikiwa sana infuture
 
Weka Elimu yako, ujuzi na kazi unayohitaji. Kusema kazi yoyote isipokuwa housegirl na bar maid haitoshi, usimfanye mwajiri kuumiza kichwa juu ya aina gani ya kazi inayokufaa.
 
usijal my dear utapata sote bado tunatafuta ila usipanik kwa maswali ya watu maana haohao ndo waajiri..gud luck
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom