christina sabbas
Member
- Oct 3, 2016
- 74
- 23
Naitwa christina, naishi dar es salaam, sinza. Ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka jana na nasomea certificate in BUSINESS ADMINISTRATION. Nimefanya kazi ya marketing kwenye campuni ya AFRICAN CAPITAL in posta. Natafuta a decent evening part time job.