let me try..shukran mkuukipindi unaendelea kutafuta kazi mi nakushauri tumia huo ujuzi ulionao kujiajiri, naimani baadhi ya vifaa vya hardware na laptop unazo, weka tangazo kwenye jukwaa la matamgazo na mitandao mingine ya kijamii kwamba wewe ni fundi wa kompyuta na simu, nakuhakikishia kama kweli ni muaminifu hutolala na njaa.