Natafuta kazi, nipo Shinyanga

Natafuta kazi, nipo Shinyanga

Rosicky

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2015
Posts
1,203
Reaction score
2,064
Habari wapendwa,
Kama ulivyoona hapo kwenye title mwenzenu nina shida sana maisha magumu natafuta kazi yoyote ya kufanya nipo Sinyanga.

Kama unaweza kunisaidia please naomba msaada wako pia hata ushauri wa mawazo ya jinsi ya kufanikiwa.
 
habari wapenda
kama ulivyoona hapo kwenye title mwenzenu nashida sana maisha magumu natafuta kazi yoyote ya kufanya nipo shy kama unaweza kunisaidia plz naomba msaada wako pia hata ushauri wa mawazo ya jinsi ya kufanikiwa
Tupia civ yako wadau watakushauri.
 
Subir watu wajue maana ya shy watakutafuta....kuwa makini na information hususani kwenye jambo la maana kama kazi
 
NI JIBU MAANA KAZI ZA MISHAHARA LAKI NA 80 ZIPO BWELELE
 
Mi nahitaji mtu wa kuniuzia mashuka ya mitumba huko shy,njoo pm
 
jamani inaumiza sana upo kwenye wakati mgumu watu wana komaa na kukejeli sio fair wakuu
 
nina elimu ya form six mkuu
 
Unajua kuwa serious kwenye jambo unalofanya ni muhimu sana. Mtu unaelimu nzuri tuu ya form six unashindwa kuandika kitu ambacho kitamconvice mtu akupe kazi.
Ukiwa na shida ndio wakati muafaka wa kujielezea vizuri
 
nahisi maisha yashanichanganya mpaka nashindwa kujieleza
 
Kwanini hauendelei na chuo St John?What happened?
 
nakutafuta mkuu kwa hali na mali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom