Natafuta kazi nina uzoefu wa computer

Natafuta kazi nina uzoefu wa computer

thommyGustavo

Member
Joined
Mar 13, 2017
Posts
17
Reaction score
5
Mimi kijana wa kitanzania umri wangu ni chini ya 30, natafuta kazi kwenye kampuni au office ya mtu
- ni mzoefu kwenye computer activities
- computer maintanance
- pia ni degree holder from here Tz university

payments can be negotiable i dont expect much but atleast reasonable salary
 
Upo tayari kwa kazi yoyote iliyohalaal?, kikubwa upate mshahara ambao utakuwa reasonable!
 
Kuna mzee anahitaji kijana wa kusafisha nyumba, kumwagilia bustani na kuandaa chakula, unakula pale pale na hata malazi yapo kama utahitaji.
Mshahara mwisho wa mwezi 280,000/= kula na kunywa ni bure. Ukizingatia mtakuwa watatu tu ambapo mzee ana mjukuu wake wa kiume ambaye anasoma shule ya kutwa.
Mzee naye hashindi nyumbani, anakuwa kwenye mizunguko yake ya kibiashara. Utaweza hiyo shughuli kwa malipo tajwa!?
 
Kwa usahuri tu futa tangazo lako hapa, afu katafakari upya namna ya kupata kazi, punguza stress unaweza kuona maisha magumu kumbe wewe ndo unawaza vitu vigumuvigumu tu.
 
Kuna mzee anahitaji kijana wa kusafisha nyumba, kumwagilia bustani na kuandaa chakula, unakula pale pale na hata malazi yapo kama utahitaji.
Mshahara mwisho wa mwezi 280,000/= kula na kunywa ni bure. Ukizingatia mtakuwa watatu tu ambapo mzee ana mjukuu wake wa kiume ambaye anasoma shule ya kutwa.
Mzee naye hashindi nyumbani, anakuwa kwenye mizunguko yake ya kibiashara. Utaweza hiyo shughuli kwa malipo tajwa!?
siriaz au
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom