Said sadart
New Member
- Feb 14, 2017
- 2
- 1
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21. Ninaishi katika mkoa wa Singida, singida mjini. Ninaomba wakuu mnisaidie kupata ajira. Pia ninauzoefu wa petro/filling station. Ntashukuru kama mkini saidia hili tatizo langu