Kwa pamoja nawasalimu wadau wote wa JamiiForums,
Mimi ni mvulana mwenye miaka 27, nina elimu ngazi ya diploma ya ujuzi wa mawasiliano, sayansi na teknolojia yaani ICT.
Nina uzoefu wa miaka miwili.
Nawaomba sana tushirikiane katika upatikanaji wa kazi, mkoa wowote napiga kazi cha muhimu ni maslahi.
Nawatakia kila la kheri.