Natafuta kazi, nina shahada ya Ualimu

Natafuta kazi, nina shahada ya Ualimu

Joined
May 12, 2014
Posts
9
Reaction score
0
naitwa mariam lawrence nimemaliza chuo kikuu nimesomea ualimu na nimefanya kazi ya kujitolea katika shirika la raleigh international miezi mitatu sasa nipo nyumbani naomben kazi wakuu 0764916825 my no
 
Kwa sasa anzisha tution ,kama uko dar utapiga hela mzuri tu.
 
naitwa mariam lawrence nimemaliza chuo kikuu nimesomea ualimu na nimefanya kazi ya kujitolea katika shirika la raleigh international miezi mitatu sasa nipo nyumbani naomben kazi wakuu 0764916825 my no

Utafanikiwa tu dada mpendwa ila angalia wakware na hiyo namba yako.ukimwi upo na unasamnazwa makusudi mdogo wangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom