Ajira sasa n za kujuana. Ila wewe ni afisa mipango, jiajiri best. Weka mipango yako fresh pata mkopo endesha maisha.
Ushauri mbaya. Aongeze elimu wakati hata degree moja tu hapati kazi. Akiongeza elimu ili iweje? Kwani kakosa kazi kwa sababu elimu ndogo?Angalia pia uwezekano wa kuongeza elimu hadi ngazi ya Shahada ya uzamili.
Lakini mkopo unaozungumziwa na wa shilingi ngapi kwani unachotakiwa ni kuanza pale ulipo kwani "mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe" hivyo usifikirie mtaji kwa big picture wewe angalia kwa level ya hapo ulipo ni shughuli gani unaweza kuifanya na ikakuingizia kipato.Asante best. Tatizo mikopo yenyewe masharti yake najikuta siyawezi
Kuna msemo huwezi kwenda peponi mpaka ufe, milioni kwa sasa huna, je utakaa tu chini kuisubiri, najua wewe umesoma masuala ya Planning na by definition tunasema PROJECT is set of investment using available resources to accomplish a certain objective, ukiangalia hiyo definition, Na wewe unachotakiwa kuangalia nguvu yako iko wapi kwa sasa ndio maana nikakupa case study yangu. Hata yule unaemwona ana biashara ya milion 30 sio kwamba alifumania hiyo ela alikuwa na yeye ana wazo kama lako nikiwa na milion 1 ama 2 nitafanya kitu lakini wakati akiwa hana hiyo milioni akawa anafanya vitu ambavyo vitamfanya aweze ku-survive kwanza huku lengo lake linakuwa palepale. Hivyo hata wewe unahitaji kuwa na shughuli ambayo itakufanya ku-survive ili iweze kukujengea network na wadau mbalimbali hata kama wadau unaokutana nao wana elimu ndogo kuliko yako lakini wana experience ya maisha. Kwa juhudi unatakayoinyoshesha kuna faida nyingine ambayo wengi hatuiangalii yaani kuna watu huwa wanasaidia watu wenye juhudi tayaiJodoki Kalimilo
Nimekuelewa sana mkuu. Asante sana kwa ushauri. Lakini hayo mambo nilisha jaribu lakini kutoka imekuwa ngumu. Unajua nataka kumake life na sio kusurvive tu ilimradi siku ziende. Kwahiyo angalau kwa mtaji wa 1M inaweza kusound kidogo. Pia naweza nikafanya kitu kikaonekana
Wandugu
Tanzania tuna kazi kweli kweli. Mimi naona nimuunge mkono Augustine Moshi kwa hoja yake ya under-funding kwenye elimu. Kwanza ni kweli ndugu Jasusi kwamba huu utapeli unafanywa kwa kukosa uzalendo kwa hao culprits.
Lakini huo utapeli unapata nguvu na mazingira mazuri(conducive environment) mbele ya public isiyoelimika. Nyinyi mnadhani Kikwete angepata kura zote hizo kwenye uchaguzi kutoka kwa watu walio huru kielimu?
There are too few enlightened people in this land. And so follows....ignorance among wabongo is rampant.
Mzee Moshi you have a point!