Natafuta kazi, nina Shahada ya Procurement

Natafuta kazi, nina Shahada ya Procurement

gwenoooo

New Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
1
Reaction score
0
Nina degree in procurement lkin nahitaji kazi ya aina yoyote ile.

Nipo Zanzibar lkin naweza fanya kazi anywhere in Tanzania .

Contact me on 0774140454/ 0652835948 for more elaboration and conversation
 
zanzibar najua ndo wepesi wa kutoa kazi jamani tena ya procurement jaribu haya mashirika ya serikalini utapata ndugu yangu mm mwenyewe nina hiyo shahada hiyo hiyo lakini cjapata ni muda sana
 
Back
Top Bottom