Natafuta kazi, nina Diploma ya Ugavi

Natafuta kazi, nina Diploma ya Ugavi

icca

Senior Member
Joined
Nov 8, 2014
Posts
186
Reaction score
177
Mimi ni msichana nina miaka 21,nina diploma ya ugavi(procurement and supply management) na nina uzoefu na computer,natafuta kazi wapendwa,ahsanteni.
 
Tanapa wametangaza nafasi za kazi! Waweza ukaomba; hata mimi nina diploma kama yako ila bado milango ni migumu (never give-up b'coz success does not come as a gift)
 
Kwa kweli ni changamoto sana..
 
Kwa ushauri wangu fanya degree then soma CPSP utakuwa marketable sanaa!' Kwa sheria za board ya procurement PSPTB hutaweza kupata kazi bila kufanya mitihani yao!!
 
Tanapa wametangaza nafasi za kazi! Waweza ukaomba; hata mimi nina diploma kama yako ila bado milango ni migumu (never give-up b'coz success does not come as a gift)

Miezi mi 3 imepita sasa,vipi mwenzangu umefanikiwa kupata kazi?
 
Mimi ni msichana nina miaka 21,nina diploma ya ugavi(procurement and supply management) na nina uzoefu na computer,natafuta kazi wapendwa,ahsanteni.

You better go back to school
 
Tanapa wametangaza nafasi za kazi! Waweza ukaomba; hata mimi nina diploma kama yako ila bado milango ni migumu (never give-up b'coz success does not come as a gift)
Mambo,ulpatakaz?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom