Natafuta kazi nina diploma ya records management

prince john john

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
2,166
3,294
Habari zenu wana JF
Mimi ni msichana age 23.Nina diploma ya RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT
nipo tayari kufanya kazi popote Tanzania kwasasa nipo Dar-es-salaam

[HASHTAG]#asanteni[/HASHTAG] Mchana mwema
 
Avatar name, Prince john john, halafu unasema wewe ni msichana. Unataka tukueleweje?

Na namba yako umeweka kwa ajili ya nini?
 
mimi jina langu ni prince john
mwenye hiyo shida ni ndugu yangu wa karibu kama kuna tatizo ndugu niambie
 
Habari zenu wana JF
Mimi ni msichana age 23.Nina diploma ya RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT
nipo tayari kufanya kazi popote Tanzania kwasasa nipo Dar-es-salaam

[HASHTAG]#asanteni[/HASHTAG] Mchana mwema
tembeleaa website ya TPA wametoa io kitu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom