M2 wa kitaa
Member
- Jun 2, 2014
- 70
- 16
Kazi bila kuweka mawadilianoNimejitokeza kutafta kazi humu ndani kwa mtu yeyote anaejua kama kuna kampuni inatafuta mtu wa mechanical anifamishe kupitia pm yangu,
Natanguliza shukurani zangu kwenu wadau.
Kazi bila kuweka mawadiliano
Kazi bila kuweka mawadiliano
NENDA STAR OIL FASTA,PANDA GARI SHUKA VINGUNGUTI,NJIA INAYOELEKEA BOM BOM KIJIWE SAMLI,KWA UPANDE WA KULIA KUNA BARABARA AMBAYO INAELEKEA KWENYE YARD YAO.
N.B.
NI KWA METL YUKO SAFI KAPATA KAMKOPO MERCHANT BANK YA SOUTH,NA SHUGHULI NDO ZINAANZA.
ILA UKISHAPATA UTUKARIBISHE MVINYO.
Aug 18, 2014 - A CONSORTIUM of leading global banks led by Rand Merchant Bankhas endorsed a 200 million US dollars (over 330bn/-) loan to Mohamed ...
kuna course nilijua ukisoma husumbuki kutafuta ajira...
Kazi bila kuweka mawadiliano
kuna course nilijua ukisoma husumbuki kutafuta ajira...
mkuu mimi nataka niwe fundi magari elimu yangu kidato cha nne sina mafunzo yoyote ya ufundiNENDA STAR OIL FASTA,PANDA GARI SHUKA VINGUNGUTI,NJIA INAYOELEKEA BOM BOM KIJIWE SAMLI,KWA UPANDE WA KULIA KUNA BARABARA AMBAYO INAELEKEA KWENYE YARD YAO.
N.B.
NI KWA METL YUKO SAFI KAPATA KAMKOPO MERCHANT BANK YA SOUTH,NA SHUGHULI NDO ZINAANZA.
ILA UKISHAPATA UTUKARIBISHE MVINYO.
Aug 18, 2014 - A CONSORTIUM of leading global banks led by Rand Merchant Bankhas endorsed a 200 million US dollars (over 330bn/-) loan to Mohamed ...
Mkuu ulishapata?Nimejitokeza kutafta kazi humu ndani kwa mtu yeyote anaejua kama kuna kampuni inatafuta mtu wa mechanical anifamishe kupitia pm yangu,
Natanguliza shukurani zangu kwenu wadau.
Kwa fani yako nenda pale PLASCO pale Chang'ombe Dar es Salaam. Ni kampuni ya Kihindi inahusika na utengenezaji wa vifaa mbalimbali za plastics ikiwemo sim tanks, mabomba n.k.Nimejitokeza kutafta kazi humu ndani kwa mtu yeyote anaejua kama kuna kampuni inatafuta mtu wa mechanical anifamishe kupitia pm yangu,
Natanguliza shukurani zangu kwenu wadau.
Uhakika wa kupata upo kwa % ngapi kiongozi, tusogee mahali hapoKwa fani yako nenda pale PLASCO pale Chang'ombe Dar es Salaam. Ni kampuni ya Kihindi inahusika na utengenezaji wa vifaa mbalimbali za plastics ikiwemo sim tanks, mabomba n.k.
Hawalipi vizuri sana lakini unaweza kuanza nao.
UMAHIRI WAKO TU. MAANA LAZIMA WATAKUPA INTERVIEWUhakika wa kupata upo kwa % ngapi kiongozi, tusogee mahali hapo