Natafuta Kazi, Nina diploma ya Mechanical Engineering

Nimejitokeza kutafta kazi humu ndani kwa mtu yeyote anaejua kama kuna kampuni inatafuta mtu wa mechanical anifamishe kupitia pm yangu,
Natanguliza shukurani zangu kwenu wadau.
Kazi bila kuweka mawadiliano
 
NENDA STAR OIL FASTA,PANDA GARI SHUKA VINGUNGUTI,NJIA INAYOELEKEA BOM BOM KIJIWE SAMLI,KWA UPANDE WA KULIA KUNA BARABARA AMBAYO INAELEKEA KWENYE YARD YAO.
N.B.
NI KWA METL YUKO SAFI KAPATA KAMKOPO MERCHANT BANK YA SOUTH,NA SHUGHULI NDO ZINAANZA.
ILA UKISHAPATA UTUKARIBISHE MVINYO.
Aug 18, 2014 - A CONSORTIUM of leading global banks led by Rand Merchant Bankhas endorsed a 200 million US dollars (over 330bn/-) loan to Mohamed ...
 
Asante mkuu, nitaelekea sehem hiyo
 
mkuu mimi nataka niwe fundi magari elimu yangu kidato cha nne sina mafunzo yoyote ya ufundi
 
Kwa kozi hii ulipaswa kuwa na ajira binafsi. Badili mtazamo. Nitafute nikupe hisa ya 5% ktk kampuni yangu kama tunaweza kufikia muafaka na kuona una vision inayoweza kutusogeza mbele. Nafanya shughuli za engineering pia. Mazungumzo zaidi ni pale tukionana. Kwa sasa sina CRB LICENSE. Hii kwangu ni kikwazo kuelekea ktk miradi mikubwa. Pia kuendesha kampuni kunahitajika kichwa zaidi ya kimoja, mind you... Am still small entrepreneur....
 
Nimejitokeza kutafta kazi humu ndani kwa mtu yeyote anaejua kama kuna kampuni inatafuta mtu wa mechanical anifamishe kupitia pm yangu,
Natanguliza shukurani zangu kwenu wadau.
Kwa fani yako nenda pale PLASCO pale Chang'ombe Dar es Salaam. Ni kampuni ya Kihindi inahusika na utengenezaji wa vifaa mbalimbali za plastics ikiwemo sim tanks, mabomba n.k.
Hawalipi vizuri sana lakini unaweza kuanza nao.
 
Uhakika wa kupata upo kwa % ngapi kiongozi, tusogee mahali hapo
 
Back
Top Bottom