juvenary kayanda
Member
- Jun 12, 2016
- 7
- 2
Natafuta kazi yoyote inayohusiana na kilimo pamoja na mifugo nipo dar es salaam. kwa mawasiliano ni
0719050938/0767509798
0719050938/0767509798
upo tayari kukaa na kuishi shamba?Natafuta kazi yoyote inayohusiana na kilimo pamoja na mifugo nipo dar es salaam. kwa mawasiliano ni
0719050938/0767509798
daaaah maninabustani mkuu ajira zimeyayuka why lakini we depend kuajiriwaaa tu
et mitaji hamna sio kweli mdau sugua ubongo think and be out of box complete aisee ningekuchapa bakora zisizo na idadi kenge mjusi mamba wewe..tafadhali niPM nikupe maujuzi flani btw pole mno

yes nipo tayariupo tayari kukaa na kuishi shamba?