mie sina hata hio certificate lakin nina kakijiwe kangu au niseme ofis ambayo natumia utundu wangu kufanya windows installation,hardwares maintenance,programs installation,mobile repair software and hardware e.t.c. labda nikuibie siri moja. mtaani matatizo mengi ya pc and mobile ni madogo madogo tu na ndio watu wanapigia pesa kikubwa ni kutafuta jina na kukuza networks yako ya kazi ila ukitaka ajira utasubir sana kitaaa.. na sema upo wap tupeane mbinu. thanksHabari wana JM Forum
Nilikuwa naomba msaada kwa yeyote mwenye network ama chanel ya kazi.
Mimi ni kijana niliyemaliza
diploma ya information technology ambaye mpaka sasa bado nipo mtaani huku natafuta kazi.
UZoefu;Nimemefanya kazi airtel tanzania
kwa muda wa miezi minane
kama field.
Pia nina certificate ya
Information technology.
Napatikana kwa Barua
pepe; a2azizi@yahoo.com
asanteni sana na Mungu awabariki sana katika kila mfanyalo.
mdogo wangu jitahidi tu kuomba kazi utapata tu usikate tamaa kabisa mungu yupo pamoja nawe