Natafuta kazi nina diploma ya business administration na dereva mwenye class D

nobleG

Senior Member
Sep 12, 2016
194
66
Habari wakuu; mimi ni kijana wa kiume niliemaliza diploma ya business administration mwaka 2013. pia ni dereva mwenye class D na uzoefu wa miaka 7; hivyo ninaomba msaada wa ajira kwenye moja ya hizo sekta . Asanteni sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom