Natafuta kazi, nina Diploma ya Biashara

Natafuta kazi, nina Diploma ya Biashara

ashura oscar

Member
Joined
Apr 29, 2015
Posts
12
Reaction score
1
Habari za kazi wakuu,mimi no mschana mwenye umri wa miaka 23, Nina elimu ya Diploma ambayo nimesomea mambo ya biashara.

Kwa muda sasa naangaika kutafta ajira bila mafanikio yeyote ,nilikua naomba mnisaidie wakuu kupata ajira yeyote yenye uhalali.

Asanteni.
 
Mh pole, ningekusaidia tena sana ila tatizo niko na stress za kuenguliwa kwa mtia nia wangu E.N.LOWASSA.kwaiyo hakuna namna
 
Okonkwo Jr,don't panic mungu anamakusudi yake,labda kamuepusha lowasa kuna kitu kingemkuta au kuna kitu kampangia tofauti n urahisi tena ni kizur zaid,usiwaze just pray
 
Ningekuelekeza kwa Professor mmoja MUHAS sema lazima akulambe kwanza.
 
NiPM dada yangu

Mkuu, kwani uliona kuna ugumu kum pm mleta uzi!? Na kama unayo nia ya kumsaidia, binafsi sijaona haja ya kumwambia aku pm wakati tayari mletauzi amesema tatizo linalo msibu. Napata picha na kuona dalili ya umwinyi au kutaka sifa kwa staili yako hii mkuu.
Ni mtizamo tu,
Pole kama nitakua nimekukwaza.
 
Basi asiniPM. Hamubebeki nyie watu. Nikaushie.
 
Habari za kazi wakuu,mimi no mschana mwenye umri wa miaka 23, Nina elimu ya Diploma ambayo nimesomea mambo ya biashara.

Kwa muda sasa naangaika kutafta ajira bila mafanikio yeyote ,nilikua naomba mnisaidie wakuu kupata ajira yeyote yenye uhalali.

Asanteni.
Hakikisha unanitafuta 0768577654
 
Hapo naona dalili ya wewe kuliwa sijui kwanini aisee
Kuwa makini sana
 
Habari za kazi wakuu,mimi no mschana mwenye umri wa miaka 23, Nina elimu ya Diploma ambayo nimesomea mambo ya biashara.

Kwa muda sasa naangaika kutafta ajira bila mafanikio yeyote ,nilikua naomba mnisaidie wakuu kupata ajira yeyote yenye uhalali.

Asanteni.
Suala la ajira kidogo ni mtihani bidada ila be strong, endelea ku fight hapa na kule utafanikiwa tu kwa kua unastahili kupata hio ajira magamba si yapo. Nakushauri kitu kimoja mtaani chenga saana kukaa bila chakufanya kama huna ishu ya kujituma rudi ulipo fanyia Field pale wanakujua watakupa Internship hata uki volunteer sio mbaya while unaendelea kusaka ajira!!! All the best Mhanga mwenzetu
We always not talking shit..... Unless some one would like shit!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom