Natafuta kazi, nina Degree ya Computer Science

Natafuta kazi, nina Degree ya Computer Science

Joined
May 16, 2023
Posts
30
Reaction score
32
WanaJF natafuta kazi nipo Kahama,

Naomba kwa yeyote atayekuwa interested anipe connection naweza kufanya kazi popote.

Nina taaluma ya Computer Science Certificate, General Agriculture Diploma na nina Degree ya Agronomy.
 
Tangu masaa sita yaliyopita ulipoweka uzi, na kutazamwa na zaidi ya watu 40 inawezekana kuna wengi wenye nafasi za kazi ila wameshindwa kukupa kwa sababu wamekosa taarifa muhimu kuhusu wewe.

Ni vizuri kuaianisha taarifa kama, umesoma mpaka kiwango gani, umesomea nini, unaujuzi wa aina gani, uzoefu wako na hata kazi zipo nyingi, wewe unataka kazi fani gani.

Naamini kupitia kufanya hivyo utakutana na wenye unachokitafuta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom