majibu yako yanaakithi akili yakonyie si ndonakuwaga na nyodo kwa wanaosoma education? kuleni jeuri yenu
Je unaweza kufanya Kazi ya Ulinzi?Habari zenu, Mimi ni mgeni kwenye jukwaa hili, Natafuta kazi, Nina degree ya community development.Nimewahi kufanya kwenye NGO kea mda wa miaka mitatu but mradi wetu uliisha.Ninafanya biashara ndogondogo kwa sasa Ila ninapenda kufanya kazi pia.Kama Kuna mtu anaconnection yoyote nitashukuru mkinisaidia.
Mungu akutangulie my mateHabari zenu, Mimi ni mgeni kwenye jukwaa hili, Natafuta kazi, Nina degree ya community development.Nimewahi kufanya kwenye NGO kea mda wa miaka mitatu but mradi wetu uliisha.Ninafanya biashara ndogondogo kwa sasa Ila ninapenda kufanya kazi pia.Kama Kuna mtu anaconnection yoyote nitashukuru mkinisaidia.
Wewe mdada ndio mzuriHapana ndugu Mimi ni mdada
Habari zenu, Mimi ni mgeni kwenye jukwaa hili, Natafuta kazi, Nina degree ya community development.Nimewahi kufanya kwenye NGO kea mda wa miaka mitatu but mradi wetu uliisha.Ninafanya biashara ndogondogo kwa sasa Ila ninapenda kufanya kazi pia.Kama Kuna mtu anaconnection yoyote nitashukuru mkinisaidia.
Kwani nani kasema wadada hawafanyi kazi za ulinzi unachopaswa kuangali ni kiasi gani utaingiza we katika masomo yako si umesoma gender inakuaje unabagua kazi eti kwa sababu ya gender badilikaHapana ndugu Mimi ni mdada