Natafuta kazi nina bachelor ya nursing

Natafuta kazi nina bachelor ya nursing

Duh bachelor of nursing ndio unaandika hivi. Acha kuzalilisha bachelor wewe.
 
Acha uzembe hakuna tanzania aliye maliza bachelor ya nursing then bado anatafuta ajira Nenda Ccbrt hutapata nafsi
 
wadau nimemaliza chuo last year

jinsia male ,age 25, nipo dar

Hivi nyie vijana hua mnaumwa? unafikir mtu anaweza kukuajiri kwa short message hiyo? au unafikiri wenye degreee ni wewe tu? elezea kwa undani..... nursing ina mambo mengi... kuna wale wanaoitwa anestisia Nurse,, kuna wale sugion nurse , na wengine wewe ninani au nurse ni nurse tu.... na kumbuka humu kuna ma director, ma HRM na hata Ma DR. I can imagine CV yako for sure itakua kichekesho
 
DAda njoo tuanzishe hospital yetu mm mtaji upo ni PM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom