Natafuta kazi Nina Bachelor /Information Technology

Mi na wazo tu naweza kukupa,tafuta chumba kama darasa alafu utafute pia computer chache tu uanze kufundisha watanzania wenzako taaluma yako,na ukitaka mafanikio makubwa sana anza kuwafundisha kwa ghalama ndogo na mwisho wa siku utakuwa umejiajili na unaweza kumiliki hata chuo huko mbeleni.
Ukitaka kuajiliwa kwa hiyo elimu yako mshahara utakaopewa hutalizika nao kwa ile falsafa ya "mshahara siku zote hautoshi" Anza Leo na kama utashindwa kabisa kupata darasa na vifaa vya kufundishia,humuhumu JF jitangaze kuwa unaweza kumfata mtu alipo ukamfundisha hizo course. Amini nakuambia inawezekana tu.
 
hongera sana kwanza kwa kujipatia shahada ya IT ila haujaleza ni eneo gani katika IT umebobea maana katika ajira za IT kwetu tanzania zimejikita katika sehemu kuu tano
kama vilee.

1.IT SUPPORT TECHNICIAN

2.WEB DESIGNER

3.NETWORK TECHNICIAN

4.PHYSICAL SECURITY

5.SYSTEM ADMINISTRATOR

6.ANDROID DEVELOPER

7.HARDWARE AND SERVER INSTALLATIONS

sasa katika IT uliyosomea ni eneo gani ya haya umebobeaa na kazi zake una uzoefu nazo katika kuzifanya.

maana katika utoaji wa ajira za IT watu huajiriwa kutokana na NATURE YA ORGANIZATION na inataka watu wa aina gani kutokana na aina ya kazi na huduma wanazotoa kwaiyo ingekuwa vizuli u specify eneo lako la umebobea mkuuu
 
Ushauri yangu, tafuta kampuni ufanye internship hasa za kihindi, uive kwenye practical kisha, kazi zitakuja
 
Mi na wazo tu naweza kukupa,tafuta chumba kama darasa alafu utafute pia computer chache tu uanze kufundisha watanzania wenzako taaluma yako,na ukitaka mafanikio makubwa sana anza kuwafundisha kwa ghalama ndogo na mwisho wa siku utakuwa umejiajili na unaweza kumiliki hata chuo huko mbeleni.
Ukitaka kuajiliwa kwa hiyo elimu yako mshahara utakaopewa hutalizika nao kwa ile falsafa ya "mshahara siku zote hautoshi" Anza Leo na kama utashindwa kabisa kupata darasa na vifaa vya kufundishia,humuhumu JF jitangaze kuwa unaweza kumfata mtu alipo ukamfundisha hizo course. Amini nakuambia inawezekana tu.
Ahsnte sana mkuu
 
Huwa nashangaa napoona mtu wa IT anatafuta kazi za kuajiliwa, chukua huu ushauri wa jamaa,.

Unahisi ni rahisi km unavodhan?,izo computer chache zinanunuliwa na mawe?fresh from school ata sh 10 hajashika ya mshahara atazitoa wapi?usifanane na wazee wafursa wanaotaka kutangaza media zao.
 
wewe unadhani inaweza kuwa ngumu, ila ukiwa na ujuzi wa IT inatosha sana kufanya upate pesa bila hata bila kuwa na hizo kompyuta, amini ilo nakuambiwa aanzishe hududma halafu aweke tangazo humhumu JF, hatokosa watu ili mradi awe muaminifu.
 
Unahisi ni rahisi km unavodhan?,izo computer chache zinanunuliwa na mawe?fresh from school ata sh 10 hajashika ya mshahara atazitoa wapi?usifanane na wazee wafursa wanaotaka kutangaza media zao.
Soma mwanzo mpaka mwisho,mi nafikili kila mtu humu ana Uhuru wa kutoa mawazo bila kutoa lugha ya kukwaza,kama unaona una wazo na nia nzuri kwenye post unatoa maoni yako,usisubili kukosoa maoni ya watu.
 
Back
Top Bottom