Natafuta kazi, nina Bachelor Accounting

Natafuta kazi, nina Bachelor Accounting

nikaney

New Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
2
Reaction score
1
wana jf natafuta kazi nina bcom accounting nitafanya kazi mkoa wowote nisaidieni
 
apply on line to recruitment agencies like radar you will be successful,they are always picking people for various organisation for final interviews but that is after passing their interviews.Just register yourself to radar & upload your cv and they will communicate with u after sometimes.
 
Kwani ukimaliza lazima upate kazi ndugu.
Kukaa mtaani napo ni kazi
 
Kwani ukimaliza lazima upate kazi ndugu.
Kukaa mtaani napo ni kazi

Siku zote mtazamo ulionao ndio utakao determine your sucessfulness kwenye maisha yako. Mwenzako anatafuta kazi unaleta mawazo kama umekurupushwa usingizini!?!????
😕😕😕
 
Pole mkuu,Amini na kumuomba Mungu atakufanyia njia pale pasipo na njia....kwa maana nyingine unaweza ukapata kazi sehemu ambayo hukuwahi hata kuiwaza kutokana na status ya hiyo sehemu mfano Kwenye mashirika ya UN eg.IMF

Muamini Mungu naye atakufanyia uwepesi katika njia zako na Mapito yako.
 
Kwa account wasaidie mama ntilie hawajui kufunga mahesabu

Laiti angekuwa Baba yako mzazi nadhani usingemjibu hivi, Jaribu kuheshimu cha mwenzio hata kama kikiwa cha namna gani.
 
Kwani lazima mtu umjibu mwenzio? Kama wewe unaona umefanikiwa maishani(kwa kipato ambacho si lolote kwa wenye kipato) basi usipende kudharau na kukebehi wenzio. Mtu hadi anakuja hapa kutoa kilio chake ujue hali ni mbaya.
Aidha nina wasiwasi wale wote waliotoa maneno ya kebehi wanaishi kwao au kwa shemeji zao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom