baby nillaah
Senior Member
- Apr 7, 2017
- 110
- 64
Habar wapendwa me bint wa miaka 22 natafuta kazi yyte hasa kwenye mashirika nina certificate na Community development ajira za utendaji saiv zimekua inshu so nataka angalau na mimi nijishughurishe nipo dodoma....
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23].....upo sahihi aisee..... Acha tuone labda atanisaidiaWAtu wakishaona ki binti cha miaka 22...wanaweza kigoli si hiki...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi lugha ipo nina diploma ya community developmentKama lugha inapanda nitafte. Anahitajika field assistant ila atafanya kazi na wakorea tupu nje kidogo ya Dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Habar wapendwa me bint wa miaka 22 natafuta kazi yyte hasa kwenye mashirika nina certificate na Community development ajira za utendaji saiv zimekua inshu so nataka angalau na mimi nijishughurishe nipo dodoma.... Tuma Picha upewe kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchongo unaanza lini?Kama lugha inapanda nitafte. Anahitajika field assistant ila atafanya kazi na wakorea tupu nje kidogo ya Dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Inapanda mkuu nitumie no yko Dm yngu haipokei sms just send me here please! Am waiting.....Kama lugha inapanda nitafte. Anahitajika field assistant ila atafanya kazi na wakorea tupu nje kidogo ya Dar
Sent using Jamii Forums mobile app