Remedy2017
Member
- Mar 17, 2015
- 8
- 1
Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 29, niliehitimu chuo kwa fani ya uhasibu, Ngazi ya stashahada,Ninauzoefu wa miaka miwili,Pia nimehudhuria kozi ya accounting package pamoja na computer. Nitashukuru sana kwn nipo tayari kufanya popote.