Natafuta kazi, nimesomea Ualimu

Natafuta kazi, nimesomea Ualimu

Joe Jas

Member
Joined
Jul 11, 2022
Posts
7
Reaction score
27
Mimi ni kijana wa miaka 20 nimehitimu chuo taaluma ya uwalimu ninasubiri ajira kwa sasa natafuta kazi ya kufanya Pia nina ujuzi katika computer operations.

Kazi sio lazima iwe ya kufundisha.

0782741783
 
Mimi ni kijana wa miaka 20 nimehitimu chuo taaluma ya uwalimu ninasubiri ajira kwa sasa natafuta kazi ya kufanya Pia nina ujuzi katika computer operations.
Kazi yeyote sio lazima iwe ya kufundisha
0782741783
Kazi yoyote si lolote. A man of all trades has no trade at all! Ulisomea ualimu na computer operations. Fanya kazi kulingana na taaluma yako.
Wanaohubiri kuwa wahitimu wasichague kazi watoto wao wanasubiriwa na ajira wakiwa bado vyuoni! Kimasomo wako hovyo lakini uhakika wanao. Wale wazuri wanaaswa kutochagua kazi. Ndio sababu ya mambo yetu yote kwenda hovyo. Wasiostahili ndani, wanaostahili nje! Unamkuta ofisini hajui ataanzia wapi licha ya vikao zembe kila siku asubuhi. Hakuna ajuaye la kufanya hivyo kila mara kikao elekezi. Mkuu anawajua hamna kitu. Yeye ndiye aliwaajiri. Vigezo na masharti ni vyake yeye. Hapo kitu taaluma pembeni.
Kila serikali hupigana kuwapa ajira watu wake. Huhukumiwa kwa kukosekana ajira na kuwajibishwa. Sio hapa kwetu. Sera yao ni wahitimu wasichague kazi! Mbona hawakatazwi kuchagua taaluma za kusomea? Hakuna aendaye chuo kikuu kusoma bali huenda kusomea jambo fulani. Anahitimu akiwa bingwa katika fani fulani. Kwani ajira hazipo? Zipo kwa baadhi wateule. Angalia mikeka! Hujui utajua.
Wakati wa kampeni za 2020 zilitangazwa nafasi 1000 za matabibu, 13,000 walimu katika tamisemi. Chama twawala kikanadi kutengeneza nafasi elfu nane za ajira. Yote ni kiini macho. Nani aliajiriwa. Leo anatumbuliwa kwa filimbi kibao. Kesho anarudishwa huyohuyo bila kipyenga. VAR haitumiki kwa wateule!
 
Kwa umri huo ingia veta upge shoti kozi au long huku ukimsikilizia bashungwa na shemdoe wake.

Dogo, kuna mama zako wana miaka 36 hawajapata chimbo lolote kwa samia.

Bado unaajirika kwa miaka 25 mbele.
 
Hello, I am looking for English Medium School Teacher under the following basic requirements;
1. Degree holder in Education
2. Able to work in remote areas within Tanzania.
3. Able to work under pressure and timelines.

Applicant with capability to teach French will be an added advantage.

For further inquiries respond inbox,
Thanks
 
Kwa umri huo ingia veta upge shoti kozi au long huku ukimsikilizia bashungwa na shemdoe wake.

Dogo, kuna mama zako wana miaka 36 hawajapata chimbo lolote kwa samia.

Bado unaajirika kwa miaka 25 mbele.
Huu ni bonge la ushauri,tena akitaka kozi aangalie zile ambazo hata kitaa kazi unapiga,mfano Umeme wa magari hauwezi kukusaliti,Motor vehicle,Mambo ya AC za majumbani na kwenye magari,kati ya izo chagua moja itakutoa tu na hutokosa mia mbili mia mbili za mtaani
 
Mimi ni kijana wa miaka 20 nimehitimu chuo taaluma ya uwalimu ninasubiri ajira kwa sasa natafuta kazi ya kufanya Pia nina ujuzi katika computer operations.

Kazi sio lazima iwe ya kufundisha.

0782741783KIDT-VTC MOSHI Tunahitaji mwlalimu WA ecd, front office na secretary kwa wanafunzi wa ngazi ya VETA TUWASILIANE 0754469894 /0717157640
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom