Loy michael
Member
- Jun 13, 2017
- 9
- 7
Mimi ni binti nina umri wa miaka 20,nimesomea Record management,ngazi ya cheti natafuta kazi ili niweze kujipatia kipato cha kuniwezesha kuendelea na diploma
Kwann usiyajenge hapa hapa,mmmhh.Ni inbobo 0713099309 tuyjnge
Makazi yako n wapTuyajengeee humu
Nakuona binti wa dumilaMimi ni binti nina umri wa miaka 20,nimesomea Record management,ngazi ya cheti natafuta kazi ili niweze kujipatia kipato cha kuniwezesha kuendelea na diploma
Nipe no yako nkuforwardie matangazo ya kaz lukuki. Niko seriousMimi ni binti nina umri wa miaka 20,nimesomea Record management,ngazi ya cheti natafuta kazi ili niweze kujipatia kipato cha kuniwezesha kuendelea na diploma
0715183795Nipe no yako nkuforwardie matangazo ya kaz lukuki. Niko serious
Dar es salam,TemekeMakazi yako n wap
kua makini mdogo wangu, hii mitandao, wasije wakakufunua na kukuacha solemba kwa ahadi ya kazi.
ThankUnataka kusaidiwa afu unaleta maringo![]()
![]()
![]()
Thankkua makini mdogo wangu, hii mitandao, wasije wakakufunua na kukuacha solemba kwa ahadi ya kazi.