Natafuta kazi, nimesomea misitu ( forestry )

Natafuta kazi, nimesomea misitu ( forestry )

WAKU-GOOGLE

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2015
Posts
950
Reaction score
630
nina miaka 25, nimesoma forestry chuo cha SUA, natafuta kazi ya afisa misitu (forest officer ) au kazi yoyote inayohusiana na mazingira, nipo open kwa kazi nyingine pia maana mtaani pamekuwa pagumu kweli......!
 
kaka unaweza niambia vigezo vya kusoma kozi hii uwe na vigezo gani ndio usome au lazma uwe umesoma masomo ya sayanc
 
Nenda fasta utafute tangazo la Mweka wana project inataka kuanza inawahusu ninyi watu wa misitu.Kila la kheri
 
nina miaka 25, nimesoma forestry chuo cha SUA, natafuta kazi ya afisa misitu (forest officer ) au kazi yoyote inayohusiana na mazingira, nipo open kwa kazi nyingine pia maana mtaani pamekuwa pagumu kweli......!
Hello Naitwa Steven Audax ni
Business consultant/ public speaker /Entrepreneur
Nitafte kwa Namba 0752085869
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom